Hakika Yanga ni Wabunifu sana,Angalia walichofanya hapa

Masama BlogMICHEZOMATUKIO45 minutes ago4 Views

tamu ni kuwa mpaka sasa hivi Yanga SC hawaja tangaza viingilio wala uwanja wa mchezo wa derby,

Na sheria ni lazima points ukapewe uwanjani na marefa wakiwepo uwanjani,

Na meneja wa uwanja wa Mkapa hana taarifa yoyote ya yanga sc kutumia uwanja kwaajili ya derby tarehe 15

YAJAYO
Ukisikia Simba SC kaingia kwa Mkapa anamsubiria Yanga SC

Usishangae Yanga SC akawa new Aman Complex anamsubiria Simba SC

Na Yanga SC ndio mwenyeji wa huu mchezo
TFF na bodi ya ligi kuu ya NBC hawana mamlaka ya kuchagua uwanja wa mechi

🤣🤣 Patamu hapo,

Acha mvua inyeshe tujue wapi panapo vuja.HAKIKA YANGA SC NI WABUNIFU SANA 🔰 🔰 🔰

Ameandika Prince Deogratius Mchambuzi wa soka sports

Vile ambavyo Pacome Zouzoua anawaangalia TFF na bodi ya ligi kuu ya NBC

Utamu ni kuwa mpaka sasa hivi Yanga SC hawaja tangaza viingilio wala uwanja wa mchezo wa derby,

Na sheria ni lazima points ukapewe uwanjani na marefa wakiwepo uwanjani,

Na meneja wa uwanja wa Mkapa hana taarifa yoyote ya yanga sc kutumia uwanja kwaajili ya derby tarehe 15

YAJAYO
Ukisikia Simba SC kaingia kwa Mkapa anamsubiria Yanga SC

Usishangae Yanga SC akawa new Aman Complex anamsubiria Simba SC

Na Yanga SC ndio mwenyeji wa huu mchezo
TFF na bodi ya ligi kuu ya NBC hawana mamlaka ya kuchagua uwanja wa mechi

🤣🤣 Patamu hapo,

Acha mvua inyeshe tujue wapi panapo vuja.

Leave a reply

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.