Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Daniel Chongolo akipokea maelekezo toka kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia kilele cha siku ya Wafanyakazi katika uwanja wa Jamhuri mkoani morogoro wiki iliyopita tarehe 1/05/2023 ambapo aliwasisitizia wafanyakazi kuwa nyongeza ya mwaka kwa watumishi ni haki yao na serikali anayoiongoza ya CCM itahakikisha inaendelea kutoa.
HABARI PICHA:MHE. RAIS SAMIA AKITOA MAELEKEZO KWA KATIBU MKUU CCM NDG.CHONGOLO
Latest News
Subscribe for latest Tanzania news & updates.
© 2026 Masama Blog. Designed by Iqbal Tasif.

