FAIZA ALLY AFUNGUKA MAZITO KUHUSU LOWASSA NA WEMA SEPETU

Admin Updates9 years ago4 Views

Saa nyingine ili uone uzito wajambo inabidi uvae viatu vya mwenzio- kwa kweli imefika wkt najisikia vibaya kuhusu kusoma ugonjwa wa LOWASA, watu wameona ndio fimbo ya kumchapia kuhusu ugonjwa wake kwa kweli sijisikii vizuri na sioni kama sawa

Pia katika pita pita huku insta nimeona Wema na mbwa na Zari na mtoto na maneno ya kashfa juu yake, jamani watanzania mnamatatizo gani kuhusu maisha ya watu!
Kwa nini unamsema vibaya mtu juu ya kilema chake ? Kwa nini usimsema mapungufu yake bila kumkashifu juu ya marazi au kilema ? Hii ni sawa kweli? .
Nakumbuka kuna wakati watu walinisema sana kuhusu ukimwi! Nikawa najiuliza hii ingekua kweli na ukimwi ingekuaje ningejisikiaje tena kuna watu walikua wana nitukana live ikiwemo na kumwambia mtu ambae niko kwenye mahusiano nae, hivi mnazani kuna mtu ameomba marazi kweli.
Nyinyi mnaosema watu kuhusu vilema vyao je mnjua mnawaweka watu kwenye wakati gani?, hivi unajua kwa kumuandama mtu unaweza ukamuua au kumuongezea matatizo na saa nyingine kuchukua hatua mbaya.
Unae msema mtu unataka kuwa sababu ya matatizo yake ? Kama ni hapana basi tafazalini jamani tusemane yote lkn sio kwa mambo kama marazi au ugumba au kilema- jamani kabla hujafa hujaumbika tumuogope MUNGU tuwe tunahofu ya MUNGU

Faiza Ally @faiza_ally on Instagram

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.