Diamond Platnumz Pesa zinazidi Kumfuata…Kampuni Kubwa Duniani ya Pombe Yampa Ubalozi

Special Correspondent7 years ago5 Views

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amelamba shavu nono la kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya vinywaji vikali ya Luc Belaire ya nchini Ufaransa.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa kampuni hiyo imethibitisha kuwa Diamond Platnumz atakuwa mwanafamilia mpya kwenye kuitangaza bidhaa hiyo na kuungana na Mastaa kibao duniani ambao pia ni mabalozi wa bidhaa hiyo akiwemo Rick Ross.

Baada ya taarifa hizo rapa kutoka Marekani Rick Ross, nae pia alimkaribisha Diamond Platnumz  kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika ‘Self Made Tastes Better’ caption iliyoambana na picha ya Diamond Platnumz .

Dili hilo ambalo bado halijawekwa wazi ni kiasi gani Diamond Platnumz ataingiza baada ya kusaini na kampuni hiyo, lakini huenda likawa ni dili la mamilioni ya fedha kwani Rick Ross ambaye pia ni Balozi wa Belaire anakadiriwa kulipwa kiasi cha Dola milioni 4.1, zaidi ya Tsh bilioni 8.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.