Viongozi mbalimbali (Wakuu wa Mikoa Anamringi Macha,Paulo Cahacha,Kanali Patrick Kenani na Daniele Chongolo pamoja Naibu Katibu Mkuu (Muungano na Mazingira Christine Mndeme) na Waziri Kindamba (Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) wakila Kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Machi, 2024.