Naibu Mkurugenzi wa CROWN MEDIA, Ndugu Salim Kikeke ameweka wazi kufanya mazungumzo marefu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amemwambia kuwa anasikia yote