
Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Mchungaji Peter Msigwa katika kikao cha NEC. Picha na Mpiga Picha wetu
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan.






