1 month agoUchaguzi wa Papa, Moshi Mweusi Waonekana, Bado Papa Hajachaguliwa Kwenye Round ya Kwanza Saa 3 usiku kwa saa za Roma, moshi mweusi ulipanda kutoka kwenye bomba la Sistine Chapel, kuashiria kuwa hakuna Papa mpya aliyechaguliwa kwenye siku ya kwanza ya #Conclave. MudaRead More