Mwigizaji nguli Bongo, Ummy Wenslaus maarufu ‘Dokii’(pichani) ameibuka na kusema kuwa vifo vya wasanii vimetokea kutokana na kujisahau hivyo Mungu ameamua kuwaadhibu. Akiongea na mwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders