AFYA:Wale wapenzi wa keki hii taarifa Muhimu inawahusu

Admin Updates11 months ago5 Views

 

Kama mnavyofahau watanzania wengi na watu duniani kwa ujumla ni wapenzi wa keki hasa kwenye matukio mbalimbali ya binafsi na kijamii,Leo kwenye Blog yetu hii pendwa ya Masama Blog tumeweza kukutana na kinyang’anyiro cha mtengenezaji bora wa keki kwa sasa nchini ambapo kati ya wanaotajwa kuwa watengenezaji bora wa keki ni Neema Kibasa maarufu jina la Mom Gemi,

na kwenye picha hii kuna hatua namna ya kumpigia kura ili aendelee kuwa bora na kugusa maisha ya watu wengi kwani amekuwa msaada mkubwa kwa kuwa fundi sua wengi zaidi kutengeneza keki ambapo wadada wengi wameshajiajiri sasa,All the Best Mom Gemin..

Masama Blog 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.