..AFUNGUKA OMMY DIMPOZ..TUPOGO REMIX NI SHIIDAH…HEBU IANGALIE KIONJO CHAKE HAPA

Admin Updates10 years ago4 Views

Ommy D
Ni time nyingine tena, mkali Omary Faraji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz
anarudi kwenye headlines, story zimeenea kwamba jamaa anaachia video
yake siku ya kesho, lakini unajua mambo mawili ambayo nataka
nikufahamishe leo?

Kwanza ni kwamba tumeona mastaa wengi Bongo na East Africa kwa ujumla
wanapaa na kwenda kufanya video kali nje ya nchi, lakini Ommy kaifanya
hii hapahapa Tz ambapo Director Adam Juma amehusika kwa 100% kuifanikisha.

.

Pili ni kwamba najua umeona picha nyingi sana mtandaoni, kutokana
na love yangu kwako mtu wa nguvu nimekuwekea kionjo cha video yake hapa,
unaweza kuicheki na kuacha comment yako, unadhani kwa ujio huu Ommy Dimpoz ataendelea kufanya vizuri zaidi kwenye vituo vya TV vya kimataifa kupitia video hii?

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.