Hivi ndivyo Mtoto wa Mwaka Mmoja na Wengine Watatu Walivyofariki katika Ajali ya Gari,Inasikitisha sana..

Admin Updates3 years ago6 Views

Mtoto mmoja wa mwaka mmoja na nusu na watu watatu wamefariki dunia baada ya gari dogo ya abiria inayofanya safari kati ya Kilwa Masoko na Nangurukuru mkoani Kilwa kugongana na uso kwa uso na gari mkurugenzi wa wilaya Kilwa.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, kamishna msaidizi  Mtatiro Kitinkwi,   amethibisha kutokea   kwa ajali hiyo  ambayo imehusisha  gari dogo la mkurungenzi wa kilwa  na gari ya aina ya probox  iliyobeba abiria  ambapo  watu wanne  wamefariki dunia wakiwamo  wanawake wawili, mwanaume mmoja na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijathibitishwa.

” Ni kweli kwamba watu wanne wamefariki  wakiwamo  mama wawili watu wazima , mwanaume mmoja mtu mzima na mtoto mmoja wenye umri wa mwaka mmoja na nusu  ” amesema kamanda Kitinkwi.

 

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.