Picha ikimwonyesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ambapo ameshiriki zoezi la kulisha mifugo nyumbani kwa mwenyekiti wa shina namba 4 Ndg. Martin Jackob Sangha tawi la Simhha kata ya Hyderer wilayani Mbulu mkoa wa Manyara.
Katibu Mkuu ameshiriki zoezi hilo tarehe 06 Machi 2023, ikiwa na lengo la kuhamasisha viongozi wote nchi nzima kuiga mfano wa balozi huyo kwa kuwa na shughuli rasmi ya ufugaji ambayo inamuingizia kipato halali na hategemei uongozi alionao ili kuishi.
Katibu Mkuu yupo Mkoani Manyara akiambatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg. Sofia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizeshani kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM, kuhamasisha Uhai wa chama pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








