- Home
-
- RAIS SAMIA AONGEZA FEDHA ZAWADI YA KILA GOLI KWA YANGA FAINALI..SASA NI MILIONI 20 KWA GOLI
RAIS SAMIA AONGEZA FEDHA ZAWADI YA KILA GOLI KWA YANGA FAINALI..SASA NI MILIONI 20 KWA GOLI

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza Fedha za Motisha kwa Yanga SC inayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka Tsh. Milioni 10 hadi Tsh. Milioni 20 kwa kila goli la ushindi
–
Uamuzi huo unafuatia ushindi wa Magoli 4-1 dhidi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini ulioipeleka Yanga SC katika Fainali ikiwa ni Timu ya kwanza kutoka Tanzania kufanikiwa kufika hatua hiyo lakini amesisitiza Fedha hizo zitatolewa ikiwa Magoli yataipa ushindi Timu
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News