Hiki ndicho Alicho kisema Haji Manara baada ya Alikiba kuhamia Simba

Admin Updates1 year ago5 Views

 Tukio la Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba kujiunga na Klabu ya SImba huku akikana hadharani kutowahi kuwa na kadi ya Uanachama ya Yanga SC yeye ni Simba damu damu, basi Haji Manara amemuibukia na kumtolea uvivu.

Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya Yanga, amedai kuwa Kiba ameenda Simba ili akatoe burudani kwenye tamasha la Simba Day na atachangamsha damu kwa kila atakayekuwepo kwa hiyo siyo kitu kibaya.

Haji ambaye aliwahi kuwa Msemaji wa Simba, ameongezea kuwa, kitendo cha Alikiba kuihama Yanga kimemuumiza huku akisema anamjua vizuri yeye na Diamond Platnumz kuhusu mapenzi na ushabiki wao.

“Kwangu mimi sioni shida yoyote, watu wameleta mzigo akae nyumbani kufanyaje? Mwache aende akaburudishe, kwetus sisi hatupunguzii chochote wala hatuongezei chochote.

“Mambo ya kumkimbia Diamond mimi sifuatilii sana, sioni dhambi kwenye hilo ni kama fursa wala Wanayanga

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.