Madrid
tayari wamekuwa katika hali ngumukwa kumruhusu Ozil kuondoka kwa ada ya
uhamisho ambayo walilipa kwa Bale – hivyo kumfanya mchezaji huyo wa
Wales kuwa mchezaji ghali zaidi duniani kwa ada ya uhamisho wa
£86million.
Presha
kubwa sasa ipo kwa Bale kuelekea mchezo wake wa kwanza na Real Madrid
wikiendi ijayo, huku sasa namba za mauzo ya jezi zikionyesha kwamba ni
mchezaji aliyembadili ndani ya kikosi cha Carlo Ancelotti ambaye
ameshika usukani kwa kuuza jezi nyingi.
Gareth
Bale ameshindwa kuleta mauzo makubwa ya jezi kama ilivyo kwa Mesut Ozil
na Neymar walipohamia kwenye vilabu vyao vipya katika dirisha hili la
usajili.’
‘Kipaji
cha Bale hakina mashaka, lakini hajawahi kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa
wa jezi katika premier league, huku mashabiki wakivutiwa zaidi na jezi
za Wayne Rooney, Robin van Persie, Steven Gerrard na even Fernando
Torres.’