MSIBA MKUBWAA:”SYLVESTER STALLONE (RAMBO) AFARIKI BAADA YA AJALI MBAYA YA GARI”

Admin Updates10 years ago4 Views




Muigizaji wa the  “Expendables
3″ Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao
wamekuwa ni waathirika wa kuzushiwa kifo. Tetesi zilizosambaa kama moto
unaounguza pori/ msitu hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, zilianzia
kupitia ukurasa feki wa facebook.
Habari
hii ambayo inaonekana kusababisha panic kubwa kwa mashabiki wa
muigizaji  “Rambo” imepelekea kutumwa kwa salamu za huzuni kutoka kwa
mashabiki wake mbalimbali kupitia mtandao wa twitter.
I just heard about Sylvester Stallone! Another favorite actor if mine, RIP

Ripoti hizo za
kifo cha Rambo zinadai kuwa alipata ajali mbaya ya gari iliyosababishwa
na dereva wake aliekuwa amelewa na kutokuona gari kubwa lililokuwa
likija mbele yake.


Hii
sio maara ya kwanza kwa muigizaji huyo kuuliwa na internet, mwanzoni
uvumi mkubwa wa kifo chake ulioripotiwa na Global Associate News zilidai
kuwa Rambo alifariki kwa ajali iliyotokana na snowboarding.


Sylvesta
Stallon (68) yuko hai na mwenye afya njema. Baada ya “Expendable 3”
atakuwa aki-shoot instalment ya 5 ya film yake “Rambo”.

Ukiachana na Sylvester Stallon, wengine waliowahi kuzushiwa vifo ni pamoja na Justine Timberlake, Miley Cyrus na Charlie Hunnam
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.