KAMA ULIMPOTEZA MPENZI WAKO KWA KUTOKUJUA ANAHITAJI NINI……..? SOMA HAPA UJUE UMRUDISHE

Admin Updates10 years ago6 Views


MWANAMKE
ANAHITAJI MALEZI MAKUBWA SANA YA KUTHAMINIWA ZAIDI YA YAI… JITAHIDI
KUMPENDA, KUMUHESHIMU, KUMBEMBELEZA, KUMJALI, KUMSIKILIZA, KUMUELEWA,
KUMSAMEHE MAKOSA YAKE NA KUMFANYA AWE PEKEE DUNIA NZIMA, HII NDIO DAWA
PEKEE YA KUISHI NAYE NA KUMFANYA AKUPENDE KILA WAKATI, LAKINI…


Mwanamke
Ana Upendo 98.8999% Kwa Mwanaume…Mwanamke Mpaka Kufikia Hali Ya
Kukubaliana Na Wewe Na Akakuheshimu Kwa Kukuvulia Kilakitu Alichonacho
Yeye Kwa Kukupa Kile Wewe Unachohitaji Kutoka Kwake Na Amekupa Heshima
Wewe Kama Mpenzi Wake Umtumie Unavyokata Na Kutokana Na Mapenzi
Anayokupa Anaamua Kukuamini Na Kukupa Siri Zake Zote Wewe Kama Wake
Mpenzi Na Mpaka Anawatambulisha Rafiki Zake Kuwa Wewe Ni Shemeji Yao Na
Hawezi Ambiwa Chochote Juu Yako Kibaya Akaacha Kukwambia, Then Leo Hii
Unamdharau “Aahgghr! Hana Lolote Huyo Kwanza Malaya Tu” …(Mbaya Sana
Hii, Jifunze Kuishi Kiutu Uzima Hata Kama Ana tofauti Usiwe Na Hofu
Kumweleza Na Ninaimani Atakuelewa)


Usimtese Kijinsia ,
Usije Thubutu Kumuacha Na Kasoro Zake , Ninamaanisha Kwamba Kama
Anatatizo Au Wakati Wa Mambo Yetu Yale Kuna Kitu Unataka Ufanyiwe Na
Yeye, Labda Yawezekana Hajui Au Anajua Lakini Ana Walakini Kukifanya,
Basi Ni Lazima Umweleze, Muweke Wazi Kumbuka Huyo Ni Mpenzi Wako Ukiwa
Kimya Ukasubiri Raha Ukapewe Na Kimada Wa Nje Basi Utajikuta Siku Ya
Mwisho Unaleta Ugonjwa Ndani Au Wewe Kukusababishia Kukosa Nguvu Za
Kiume Unapokutana Naye Mara Nyingi Kwa Sababu Ni Chanzo Kingine Cha
Kusababisha Kukosa Nguvu Unapotembea Na Wanawake Wasiohesabika,
Ukikutana Naye Mara Inalala Hii Ni Kutokana Na Uchapaji Wa Too Much Nje,
Kwa Sababu Unapokuwa Naye Huwezi Ku Feel Kuwa Naye. Na Badala Yake
Utaanza Kuwawaza Wengine Wa Nje Ambao Hawatakusaidia Katika Kujenga
Uhusiano Mwema Na Mpenzi Wako. 
(Kumbuka: Hata Ukibadilisha Kuni, Moto Ni Ule Ule) 

Mwanamke
Akikupenda Usimdharau Kama Yeye Ni Malaya… Na Mwanamke Mpaka Ukiona
Hajatulia Basi Jua Tatizo Lako Wewe, Fanya Juu Chini Ili Kuweza
Kumbadilisha Kwa Sababu Kumbadilisha Mwanamke Ni Kitu Kidogo Sana Kwa
Sababu Umekaa Naye Muda Mrefu Na Ni Lazima Utajua Tu Umguse Wapi Aweze
Kuwa Kama Mwanzo, Kama Umeshanifuatilia Kwa Mada Zangu Ninazokupa
Kupitia Hapa . Na Usijeomba Mwanamke Akulilie Machozi Mbele Zako,
Ameshindwa Kumlilia Baba/Mama Yake Aliyemzaa Na Amekuja Kukulia Wewe…
Wewe Una Nini? Epukana Na Hili Na Utunze Heshima Yake Na Umpe Penzi
Lako, Hakuna Mwanamke Mbaya/Malaya/Kicheche Ila Wewe Ndio Utafanya Awe
Hivyo… Wengi Wao Wameshawahi Kufanya Haya Na Sasa Wanalia Na Kusaga Meno
Kwa Sababu Walijisahau Na Mwishowe Sasa Hawajielewi Kutokana Na Maisha
Wayoishi Ya Kutokua Na Chaguzi Zilizo Za Halali…


Mwanamke
Anapenda Kupendwa! Mara Nyingi Wanawake Ndiyo Hasa Huwa Na Mapenzi Ya
Dhati Zaidi Kuliko Wanaume. Mwanamke Anapoamua Kuwa Na Mpenzi Wake,
Humpenda Kwa Moyo Wake Wote, Hivyo Hupenda Kuwa Salama Katika Penzi La
Dhati Kwako.


Anapenda
Uhuru, Anapenda Kujisikia Wazi Kwako Mahali Popote. Mwanamke Anajisikia
Vibaya Sana Anapokuwa Hana Uhuru Hata Wa Kukushika Mkono Mnakuwa
Barabarani Pamoja. Anapenda Penzi La Uwazi!


Maana
Mwingine Utakuta Akikutana Na Rafiki Yake, Badala Ya Kumtambulisha
Vizuri Kama Mpenzi Wake, Anaanza Kupatwa Na Kigugumizi. Utamsikia
Akisema: “Ah! Huyu Ni Rafiki Yangu Bwana, Anaitwa Latipha….”Hili Ni
Kosa Kubwa Linalofanywa Na Wanaume Wengi Bila Kujua Ni Kosa.


Mwanamke
Anakosa Amani Ya Moyo Kutokana Na Unavyomtafsirisha Mbele Ya Rafiki
Zako. Anahisi Hayupo Salama. Lazima Atajiuliza Maswali, Kwanini Hataki
Kunitambulisha? Kwanini Anashindwa Kusema Mimi Ni Mpenzi Wake?
Sifananii? Sina Mvuto Au Nina Tatizo Gani?


Hayo
Yanaweza Kuwa Maswali Yatakayomuumiza Sana Kichwa Mpenzi Wako, Ambaye
Si Ajabu Akafanya Maamuzi Ambayo Hutayapenda. Kidonda Hiki Hubaki Moyoni
Mwa Mwanamke, Huwa Vigumu Sana Kuonyesha Wazi Kwamba Amechukia Kutokana
Na Uliyomfanyia, Lakini Atabaki Akiugulia Moyoni Mwake Kwa Uchungu.

Hata
Hivyo, Kinachokuja Akilini Mwake Ni Kutafuta Mwanaume Mwingine Ambaye
Atakuwa Wazi Kwake Ili Aweze Kufurahia Mapenzi Badala Ya Kuendelea
Kuumia Moyoni Mwake. Ni Dhahiri Kwamba Uamuzi Huu Hautaufurahia Hakika.
 

1. UNAVYOJALI…
Mwanamke
Anapenda Awe Wa Pekee Kwako, Umsikilize, Umjali Na Umpe Kipaumbele
Katika Kila Unachokifanya . Wanawake Wengi Wanapenda Kudekezwa, Lakini
Hawapendi Kuweka Hilo Wazi Kwa Mwanaume Wake. Kwa Kumtazama Tu Utagundua
Mpenzi Wako Anahitaji Nini Zaidi Kwako!


Wakati
Mwingine Anaweza Kukupa Mitihani Ili Kupima Kiwango Cha Penzi Lako.
Anaweza Kukuambia Anaumwa Au Anauguliwa Na Mtu Wake Wa Karibu, Lengo Ni
Kuangalia Ni Jinsi Gani Unakuwa Makini Anapokuwa Na Matatizo.


Vile
Utakavyochukulia Tatizo Lake Kwa Ukaribu, Uchungu Na Kuona Kama Lako,
Ndivyo Utakavyomfanya Aone Thamani La Penzi Lako Kwake, Ikiwa Vinginevyo
Basi Humuacha Na Machungu Moyoni, Huku Akijutia Kuwa Na Mpenzi Wa Aina
Yako.


Hii
Ni Siri Ambayo Si Rahisi Mwanamke Wako Akueleze Moja Kwa Moja. Atatumia
Lugha Ya Ishara Kuonesha Jinsi Ambavyo Anahitaji Kuwa Wa Pekee Kwako.


2. JIFUNZE SIRI HIZO…..

Hapa
Ndipo Mwanaume Mwerevu Anatakiwa Kuwa Makini, Ni Lazima Ufahamu Siri
Zilizopo Moyoni Mwa Mpenzi Wako. Jifunze Kusoma Hisia Za Mpenzi Wako Kwa
Nje, Kabla Ya Kufanya Kitu, Fikiria Mara Mbili, Lakini Baada Ya
Kufanya, Msome Kupitia Uso Wake.


Analifurahia
Au Umemchukiza? Ni Vizuri Kugundua Hilo Ili Uweze Kufunga Hisia Za
Kumfanya Aanze Kufikiria Kukusaliti. Hata Mnapokuwa Faragha Ni Vizuri
Kuwa Makini Na Kila Unachokifanya! Chunguza Kama Anafurahia Penzi Lako
Na Manjonjo Yote Unayomfanyia.


Kumbuka
Kwamba Ni Vigumu Sana Mwanamke Kukueleza Moja Kwa Moja Kwamba
Hujamfurahisha Au Kuna Kitu Umekikosea, Hii Husababishwa Na Hofu Ya
Kuogopa Kukufanya Ujisikie Vibaya.


Kwa
Maneno Mengi WEWE Mwanaume Ndiye Mwenye Kazi Ya Kuangalia Mwanamke Wako
Anapenda Nini Na Nini Hapendi Ili Uweze Kuwa MWANAUME Wake Bora, Maana
Hata Hisia Zake Za Ndani Utakuwa Unazifahamu. Ni Rahisi Sana, Soma
Kupitia Macho Yake Kila Unachomfanyia, Utaujua Ukweli. Unajua Hata
Ukimwita Kwa Jina Ambalo Hana Msisimko Nalo Lakini Ukiwa Unamtazama
Usoni Ni Rahisi Sana Kugundua Kitu Fulani, Kama Hajakipenda Utaona
Kwenye Macho Na Akikipenda Pia Utaona.


Unapokuwa
Naye Faragha, Tumia Uwezo Wako Wote, Lakini Kumbuka Kwamba Si Kila
Utakachokifanya Utamfurahisha. Hii Inamaanisha Kwamba, Baada Ya
Kumchunguza Jinsi Anavyosisimka, Utaweza Kugundua Wapi Kuna Msisimko
Zaidi Kuliko Sehemu Nyingine.


Hapo
Sasa Unaweza Kuibuka MSHINDI Maana Utakuwa Umeziweka Siri Zake
Hadharani, Kwa Maneno Mengine Kama Yeye Aliona Siri, Basi Umeweza
Kuzigundua Na Angalau Umeanza Kuzifanyia Kazi. Nawapenda Sana Rafiki
Zangu, Ndio Maana Nawapeni Mambo Mazuri Na Yenye Sifa Ili Msiweze
Kusababisha Kitu Kinaitwa…”UMENITENDA/AMENITENDA” (KUTENDANA NI DHAMBI
KUBWA SANA) NIWATAKIE SIKU NJEMA..


WAZO LA LANGU LEO:

WANAWAKE: Napenda
Kuwashauri Wanawake Wote Ambao Wapo Katika Mahusiano Ya Kimapenzi
Wajaribu Kuwa Wabunifu Katika Mapenzi, Mpe Mpenzi Wako Mapenzi Yote Toka
Moyoni Mwako. Usidanganywe Kuwa Mapenzi Ni Mitishamba Hakuna Dawa Ya
Mapenzi Kwa Mganga Ila Dawa Unayo Wewe Mwenyewe Mridhishe Mpenzi Wako
Kwa Kumpa Vitu Vipya Katika Mapenzi Halafu Uone Je, Penzi Lako Kwa
Mwenza Wako Utachangia Na Wenzako?!


WANAUME: Siku
Zote Uwapo Katika Mapenzi Fahamu Kuwa Unapaswa Kumridhisha Mpenzi Wako
Katika Tendo Mfanye Ajisikie Raha Pindi Muwapo Chumbani Inakubidi Uwe
Mwanamke Wa Kileo Ujitahidi Kuwa Mbunifu Katika Mapenzi Kwa Kujituma
Pindi Mnapokuwa Chumbani Na Mpenzi Wako, Jaribu Kushughulika Tumia
Viungo Vyako Vya Mwili Katika Kuamsha Hisia Za Mwandani Wako Kabla Ya
Kuanza Nae Kufanya Mapenzi Ili Kuhakikisha Mpenzi Wako Anapata Raha Na
Inakuwa Ni Njia Nzuri Ya Wewe Kumfanya Mpenzi Wako Ahisi Kuwa Wewe Ni
Muhimu Kwake Kutokana Na Mahaba Unayompa.

AKAMATWA NA MIL 400 FEKI.
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa,
Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za
Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani
ya zaidi ya Sh milioni 400.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win


AKAMATWA NA MIL 400 FEKI.
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa,
Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za
Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani
ya zaidi ya Sh milioni 400.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.