PSPF YAWALETA ARSENAL TANZANIA..SOMA HABARI KAMILI HII HAPAA!

Admin Updates10 years ago4 Views

Mkurugenzi
wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia)
akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa
PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano
ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la
kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara,
katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi
kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal
ni kati ya klabu maarufu ulimwenguni ambayo inashiriki ligi maarufu
duniani ya Barclays.





Mkurgenzu Mkuu wa PSPF Bw.
Adam Mayingu (kushoto) akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG
Group, Bw Imani Kajura ambaye ni mwenyeji wa maafisa kutoka klabu ya
Arsenal ambao wapo nchini kwa ajili ya kukutana na wadau mbalimbali kwa
lengo kufungua mahusiano ya kibiashara.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.