JAMANI HIKI NI NINI TENA KIMEMSIBU STAA JACQUELINE WOLPER? HEBU SOMA ALIVYOFUNGUKA HAPA

11 years ago114 Views



Kupitia kwenye page yake moja ya mtandao maarufu wa kijamii nchini, mwanadada wolper amefunguka haya yafuatayo…

Maandishi ya uwongoo yananiharibia sana
huusianao wangu plz stok na msani yoyote Tanzania wala nyege zangu
azimalizwi na msani yoyote Tanzania nina mwanaume wangu namuheshimu
ananiheshimu na sipo kuweka mahusiano yangu hadharanii wala mitandaoni
Maana nimtu na heshima zake.. nimeumwa na nyoka mara ya kwAnza so ata
jani likinigusa ninashtuka kikubwa sina mapenz ya matangazo wala
mitandaoni stak kuandikwa kwa lolote lisilolaukweli ..nawewe unaefurah
me kuandikwa nawewe ikiwa ukweli unaujua kma niuwongo jua kuwa
unaniharbia kwa walinizunguka cc wazazi wangu na Mahusiano yangu .
.” Mwisho wa kunukuu

Jamani, kiukweli hatujui Wamemfanya nini Jacquiline Wolper wetu, ila
mwenye “ubuyu” kamili wa kilichotokea tunaomba atufahamishe kupia
comments hapo chini maana namba ya Jack tunayompigia ili atupe ukweli wa
mambo haipatikani…

Kizuri share na wenzako

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.