TEAM WEMA WAKWERA NA TABIA YA WATU KUMZUSHIA WEMA

Admin Updates10 years ago5 Views

Baada ya Picha za staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa
na mshindi wa Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakiwa kwenye
moja ya supermarket hapa jijini Dar kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya
kijamii zaidi ya moto wa vifuu  huku kila mtu akiandika lake kuhusiana
na kile alichokiaona, Team Wema waneoneshwa kukerwa na tabia za watu
kumzushia Wema  kwenye mahusiano.

Licha ya ukweli ni kwamba Wema na Idris wanaonekana kikazi zaidi,
yaani ulikuwa ni wito maarumu kutoka kwa wenye  supermaket hiyo, watu
wengi wameolionekana kupakaza kuwa wawili hao ni Le Project mpya na
wengi wakimtupia maneno Wema kuwa hisaa amezidiii na wengine wakimlaumu
Idris kuwa ameingia chaka.

Kitendi hiki cha Wema kuzushiwa kuwa na mahusiano na watu ambao
anafanyanao kazi kimewakera sana Team Wema na kusababisha timbwili la
maneno mitandaoni.

“Imekua kama tabia ya watu ku comment (
yani ndo umeamua kua na wema) ( wema ndo unatoka na huyu) kwa kila mtu
anae fanya nae kazi.. Naomba kuwauliza inamana nyie hamuon kama hizo ni
kazi?? Mme shindwa tu kwa Millard Ayo na project ya the completePackage
kusema anatoka na wema . Watu wameshindwa kutofautisha kati ya X na +
ntaomba Diamond awasaidie kuwapa darasa ama ASEME NA NYIYI. Ama nene”.  

Mmoja kati ya team Wema aliandika mtandaoni.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.