Hii imesikika muda mrefu, uhusiano wa Loveness Diva na Crazy GK.. minong’ono ikamfikia Soudy Brown kwamba wawili hao wameachana kisa ni PICHA inayomuonesha Diva akipigana mabusu na star wa Bongo Fleva kwenye show.
Soudy Brown amemtafuta GK ambae
amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao
na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani..
ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.
amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao
na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani..
ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






