ALI KIBA, DIAMOND KATIKA VITA MPYA …ALI KIBA AAPA KUWAMALIZA MADEMU WOTE WA DIAMOND..AMEANZA NA JOKATE

Admin Updates10 years ago6 Views



Gazeti la Kiu Limepenyezewa Ubuyu kuwa Ali Kiba amebuni Vita Mpya Kwa
Diamond Kwa kuwafyeka mademu wote walio wahi kuwa na uhusiano na
Diamond..

Taarifa toka vyanzo vya ndani vinaeleza tayari Ali Kiba Ameshaanza
mashambulizi kwa Jokate ..na tukio la hivi karibuni Uwanja wa Dar Live
ambapo Ali Kiba Alisindikizwa na Mrembo Jokate limezidi kutia uzito
Jambo hilo ambapo zimeanza kujadiliwa mitandaoni Hasa Instagram..

Mbali na Mtoko wa Hao wawili Dar live kwenye Instagram kuna akauti yenye
jina la “Jokiba” ikisapoti Mapenzi ya Hao wawili ..Mtu wa Karibu wa Ali
Kiba Alipohojiwa Alisema kuwa ni kweli hawa watu wapo karibu sana ila
hana uhakika kama Wameanza Mchezo wa Baba na Mama…

Aidhaa kunaTaarifa nyingine kuwa Wema Sepetu ambaye naye alishakuwa ex
wa Diamond siku hizi za karibuni amejaribu kujenga uhusiano wa karibu na
Ali Kiba katika kile kinachoelezwa kuwa ni Kutafuta namna ya kulipiza
kisasi kwa Diamond..

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.