Na Paul Chengula
Ni
tuzo mpya Tanzania ambapo mwaka huu 2015 zinatolewa kwa mara ya pili na
itakua ni Ijumaa ya May 22 2015 Hyatt Regency Hotel ambapo za mwaka huu
zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio,
televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya
kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki
washiriki watatu katika kila kipengele ambapo kila mshindi atapokea
tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.
Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla hiyo
itasindikizwa na burudani moto moto kutoka kwa wasanii watakaotangazwa
hapo baadaye. Hakuna kiingilio kwenye tuzo hizo bali itatolewa mialiko
kwa baadhi ya watu kwenye tasnia ya burudani na zingine nchini. Pia
mialiko 100 itatolewa kwa wananchi waliopiga kura zaidi

D’Jaro Arungu – TBC FM – TZW1C
Maryam Kitosi – Times FM – TZW1D
Millard Ayo – Clouds FM – TZW1E
Amplifaya – Clouds FM – TZW2B
Hatua Tatu – Times FM – TZW2C
Papaso – TBC FM – TZW2D
Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV – TZW3A
Salama Jabir – EATV/Maisha Magic – TZW3B
Salim Kikeke – BBC Swahili – TZW3C
In My Shoes – EATV – TZW4B
Mkasi – EATV – TZW4C
Planet Bongo – EATV – TZW4D
Hassbabytz.com – TZW5C
Millardayo.com – TZW5D
Adam Juma – TZW6B
Hanscana – TZW6D
Nisher – TZW6E
JB – TZW7A
Leah Mwendamsoke – TZW7B
Vincent ‘Ray’ Kigosi – TZW7D
Jacqueline Wolper – TZW8C
Riyama Ally – TZW8D
Wema Sepetu –
Hemedy PHD – TZW9A
JB – TZW9B
King Majuto – TZW9C
Lady Jaydee – TZW10A
Linah – TZW10B
Vanessa Mdee – TZW10E
Alikiba – TZW11A
Barnaba – TZW11B
Diamond Platnumz – TZW11C
Chausiku – TZW12A
Kigodoro – TZW12B
Madam – TZW12C
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz – TZW13C
Wahalade – Barnaba – TZW13D
XO – Joh Makini – TZW13E
Kupiga kura andika code ya jina ulipendalo na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea