HII NDIYO LIST YA MASTAA 7 WANAOTEMBELEA GARI ZA KIFAHARI TZ….

Admin Updates10 years ago6 Views


Asilimia
Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika
mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza
utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo.
Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.


1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki
anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni
Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa
thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za
kibongo.
2: LADY JAYDEE
Anayefuata ni mwanadada lady jaydee
anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua
kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E
lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 .
3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75
5: MRISHO MPOTO
Namba
tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto
anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.
6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.
7: WEMA SEPETU
Nafasi
ya saba inashikiliwa na mwigizaji wema sepetu anayemiliki BMW 545 yenye
thamani ya shilingi million 56, pamoja Na Nissan murrano alilopewa Na
aliyekuwa mchumba wake diamond lenye thamani ya shillingi mil 36
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.