DIAMOND PLATNUMZ KWENYE KOLLABO NYINGINE NA MSANII DONALD KUTOKA SOUTH AFRICA!!

10 years ago147 Views

donald-na-Diamond

Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boatambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.

Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios  nchini South Africa, na hapa nina baadhi ya picha za wasanii hawa wawili wakiwa studio wanarekodi nyimbo yao mpya pamoja na kipande cha video ambacho ndani tunaisikia nyimbo yao mpya kidogo.

d-n-d-3
donald-na-diamond2
Wasanii hawa leo watasikika live kupitia Metro Fm jijini South Africa na badaae kufanya mkutano na Universal Music Studios.
Hiki hapa ni kapande cha video cha Diamond na Daniel wakiwa studio wanarekodi  ambacho wimbo wao mpya unasikika kidogo.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.