Mtando wa haki za binadamu pamoja na waharakati mbalimbali wafungua kesi ya kikatiba kupinga baadhi ya vipengele vya sheria ya makosa ya mtandaohttps://youtu.be/8BmxxpgPmEA
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, yawafikisha vijana wawili mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam kwa makosa ya uhalifu wa kimtandaohttps://youtu.be/CPupB76lEsA
Mgombea uraisi wa chama cha ACT Wazalendo awaasa wagombea wenzake kuacha vijembe na kushutumiana na badala yake wajikite kunadi sera.https://youtu.be/piPuQNa1jpg
Raisi Kikwete ataembelea mahakama ya Afrika iliyoko jijini Arusha huku akiwaasa viongozi wa Afrika kuipa Mahakama hiyo Mamlaka kamili.https://youtu.be/fpueMGvuQWw
Watoto wenye maradhi ya ugonjwa wa Saratani wanaopatiwa matibabu hospitali ya taifa Muhimbili wapatiwa msaa na Vodacom Foundation.https://youtu.be/HoxL4dFceOY
Polisi mkoani Geita inamshikilia mgangawa kienyeji kwa tuhuma za kuwapa wateja wake dawa yenye sumu huku 1 akifariki na wengine kulazwahttps://youtu.be/M2wyDHLl3b4
Aliyekuwa mbunge wa Ubungo John Mnyika awataka waangalizi wa uchaguzi mwaka huu kuondoa shaka na kufanya kazi zao kwa uhuru. https://youtu.be/nez73xjrUdY
Serikali ya toa msaada wa dola milioni 4 kama msaada wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu iliyoko mkoani Arusha. https://youtu.be/VDdL81VTfkM
Mgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa ahaidi kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama chake akichaguliwa kuwa raisi. https://youtu.be/rmPoZmwW61g
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli ahaidi kufufua uchumi wa mkoa wa Mara huku akisisitiza maendeleo ya uhakikahttps://youtu.be/rLi8TVpk2AU
Mgombea Mwenza wa uraisi kupitia Chadema Juma Duni ahaidi kuboresha huduma za afya kwenye hospitali teule kwenye wilaya ya Iringa. https://youtu.be/BBm0vuvMxVU
Katibu mkuuwa chadema John Mnyika atoa rai kwa NEC kuruhusu waangalizi wa ndani wa kutosha ili kuboresha usismamizi wa zoezi hilo. https://youtu.be/lwSr7RHVxO8
Mgombea Mwenza wa CCM Bi,Samia Suluhu atangaza neema kwa vijana baada ya kuhaidi kutoa asilimia 30 ya zabuni kwa kampuni za vijana.https://youtu.be/TiKPbetVedI
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli ahaidi kuboresha mfumo mzima wa sekta ya madini ili ulete tija kwa watanzania ikiwemo ajirahttps://youtu.be/Tngdq_djA90
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kayenze wadai watampigia kura kiongozi yeyete mwenye uwezo wa kutatua matatizo yao ikiwemo maji.https://youtu.be/kkZt4PwOW0Y
Mfuko wa uwekezaji nchini umefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 240 katika kipindi cha miaka 10 huku wananchi wengi wakiwa hawatambui umuhimu wa mfuko huo. https://youtu.be/JZqBivHNGBE
Mkuu wa majeshi ya Burundi anusurika kuuwawa wakati akielekea kazini baada ya watu wenye silaha kufanya shambulio la kushitukiza. https://youtu.be/J8yl27LEL9E
Kamati ya amani ya mkoa wa Dar es salaam yawataka wananchi kushirikiana na viongozi mbalimbali ili kuepusha vitendo mbalimbali vya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.