ESTER KIAMA AFUNGUKA: NIMEMMISS DUDE…MSIKIE HAPA

10 years ago117 Views

Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama.
MSANII anayekuja kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Ester Kiama ambaye amekuwa akikana kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema hivi sasa anajisikia kum-miss staa huyo anayezunguka katika kampeni za CCM mikoani.Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema Dude alikuwa akimsaidia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kumtayarishia mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari, filamu na mambo mengine mengi ambayo kwa sasa yamelala.
“Kiukweli nammiss sana, kwa sasa mambo yangu mengi yamesi-mama hadi uchaguzi upite, hapa nilipo nauza mkaa ili atakaporudi tuweze kuchanga pesa zilizopatikana tuendelee na kazi ya filamu,” alisema.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.