Haji Manara Awashukia Simba “Zile Goli Tano Mpaka Leo Zinawafikirisha

Admin Updates1 year ago4 Views

Msichokijua Wanayanga Vita yoyote ya mitandaoni au uwanjani na hata ya nje ya Pitch, ni kututoa njiani kuhusu mafanikio yetu katika kipindi cha miaka ya karibuni, kitendo cha Ghalib Said Mohammed kukubali kutujengea Uwanja wa kisasa mfano wa huo kwenye picha, ndicho kinawachoma Wapinzani wetu kuliko mnavyodhani!!
Wanamjua GSM akiahidi anatekeleza, na hajawahi kutoa maelekezo ya kuchangisha kama walivyozoea wao , kuchangishwa hadi ukuta hewa, kuchangishwa Simenti na Matofali yaliyopo kuzimu now, pia wanaumia zaidi baada ya Transformation yao hadi leo kubuma, huku Wananchi tukiyoyoma kufikia malengo mama ya Club.
Imagine being us na ligi tunaongoza kwa mbali mno, huku dalili zikionyesha kabla ya Pasaka tutakuwa tushaelekezwa wapi tuende kukabidhiwa kikombe chetu, bado zile khamsa zinawafikirisha hadi leo, hawaelewi mbanduo ule ulikuwaje kuwaje 😀😃
Tusitoke katika Reli na tusikubali kutengena na tubaki hivi hivi hadi wapagawe, akitokea yoyote anaetaka kutuchafua tudeal nae effectively, awe anatoka kwao au kibaraka wao!!
Sisi ndio Yanga,Club ya Watu wa Taifa hili,Club kubwa zaidi na yenye Wafuasi wengi Bongo, Club yenye Makombe mengi kuliko wao,Bingwa Mtetezi wa Nchi na Champions of all time wa Tanzania na Vilivyomo,,
Nb: Wakinuna waambieni Majini tunayo na tunatamba nayo,Ndegelec

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.