May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mohammed Abdallah (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.

Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Huyu mkubwa
Related Posts
Add A Comment
Latest News
Subscribe for latest Tanzania news & updates.
© 2026 Masama Blog. Designed by Iqbal Tasif.