Makamu wa Rais afunguka: Wanafunzi wa Vyuo Wanaongoza Kwa Kujiuza Miili yao..Ona hii video akitoa takwimu

Admin Updates8 years ago6 Views

Akiongea katika harambee ya kuchangia ujenzi wa bweni la wasichana chuo kikuu cha Mzumbe amesema wanafunzi wa kike wanaosoma vyuo vikuu wanaongoza kwa tabia ya kujiuza miili yao, na kujipanga foleni kwenye hoteli na madanguro, na kuleta aibu kwa jamii
amesema zamani wao wkiwa wanasoma walikuwa wanaishi kwa ‘bum’ hilo hilo lakini walikuwa hawajiuzi na ameshangaa kwa nini sasa hivi wanafanya hivyo:

Video:

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.