ASLAY NA RUBY MAPENZI MOTOMOTO

Admin Updates8 years ago7 Views

Katika mtandao wa instagram limezuka gumzo kubwa linalo wahusisha wasanii wawili wa muziki wa Bongo Flavour, mmoja kutoka Mkubwa na wanawe (Aslay) na mwengine ni mwanadada mwenye vocal kali kutoka katika mikono ya Fiesta Super Nyota Diva. (Ruby)
Utata huo umezuka baada ya kila mmoja kupost katika ukurasa wake wa instagram picha za mwenzie na kuandika caption ambazo zinaashiria wawili hao wapo katika mahaba mazito hadi kushindwa kuzuia hisia zao.
Yaweza kuwa ni project au ni jambo lingine lolote linalo wafanya wawili hao kuwa karibu kiasi hicho au kufanya mambo hayo, ukweli wa mambo upo katika mioyo yao.
Nimekukutanisha na POst zao hapa ushuhudie hali jinsi inavyo endelea.

Maaashaallah 😘😘 #suuuuuuuuuuuuuuu

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...