Sababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi ya kweli

Admin Updates8 years ago7 Views

Fotolia_92936031_Subscription_Monthly_XLAkili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa nacho, lakini wakati mwingine kinaweza kuwatisha wengine. 
Pengine ndio maana watu wenye akili nyingi hupata shida ya kupata pendo. Kama unajiuliza kwanini bado upo single, hizi ni sababu tano kwanini unaweza ukawa unapata shida kupendwa.
1. Unakuwa mchambuzi mnoWasichana wenye akili mara nyingi huchambua sana vitu. Huwa na shaka na kesho yao, njia nzuri za kuimarisha mahaba, na wanataka sana kumpata mtu sahihi. Hiki hata hivyo sio kitu kibaya.
2. Unajua ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mwenza asiye sahihiNa hakuna tatizo katika hilo pia. Watu wenye akili wako makini katika kumpata mwenza sahihi ambapo wanaweza kuamua kubaki wenyewe kama asipopatikana.
3. Unajua kuwa mahusiano mara nyingi hufaHawa hujua ukweli unaouma kuwa mahusiano mengi hayafiki popote. Matokeo yake, wakati mwingine hufanya mambo pole pole na kuwa na shida katika kuingia miguu miwili. Lakini mwenza sahihi ataelewa hilo.
4. Unaweza kuwa unaogopeshaSio kwamba watu wenye akili huwatisha mambumbu lakini hata wenye akili pia. Wanaweza wasiwe comfortable na ukweli kuwa unafanya vizuri katika eneo la maisha ambayo hawapo.5. Unajua kujilinda mwenyeweWatu wenye akili katika dunia hii wanaelewa sana hatari katika hali yoyote na hiyo inahusisha pia dating. Huwa makini, waangalifu na huweka vikwazo kujilinda wenyewe.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.