- Home
-
- BREAKING NEWS: Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Afariki Dunia
BREAKING NEWS: Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Afariki Dunia
Breaking News
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Alhamisi Februari 29,2024. Tangazo la kifo chake zimetolewa na Rais Ramia Suluhu Hassan.Leo zoezi la kuaga Mwili wa Hayati Rais Mwinyi utafanyika uwanja wa Uhuru Dar es Salaa na baadaye kwenda Zanzibar ambapo Mazishi yake yatafanyika kisiwani Unguja.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News