AUDIO: Wolper na Harmonize Wapigana Chini……Msikilize hapa Harminize Akifunguka

Admin Updates8 years ago6 Views

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Alhamisi  alithibitisha kuachana na malkia wa filamu, Jacqueline Wolper.

Huenda wawili hao wamezinguana siku za karibuni, kwani Machi 16 mwaka huu Harmonize aliachia project yake ya wimbo ‘Niambie’ ambayo ndani yake Wolper alicheza vitendo na pia walishirikiana kwenye ishu ya promotion ya wimbo huo.

Akiongea katika kipindi cha Leo Tena,  Harmonize amedai alikuwa na mipango mingi na Wolper lakini ameona bora aachane naye ili aupeshe shari.

“Sipo katika mahusiano, inshort kila mtu ana maisha yake ‘tumeachana’”alisema Harmonize .

Pia muimbaji huyo alikanusha taarifa za kwenye mitandao kuwa anatoka kimapenzi na msichana wa kizungu.

Hata hivyo hakuweka wazi sababu maalum ya kuachana na mpenzi wake huyo aliyedumu naye kwa muda mrefu pamoja na kumtambulisha kwao.
==>Msikilize hapo chini akiongea

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.