Jack Wolper ‘Narudiana na Harmonize, Sarah Nilimuachia Kwa Muda tu’

Special Correspondent6 years ago7 Views

ILIKUWA patashika nguo kuchanika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kwenye tamasha la Wasafi Festival usiku wa Novemba 24, ambapo wasanii kutoka WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz, wameangusha bonge moja la shoo ya kukata na shoka.



Miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni pamoja na waigizaji kutoka Bongo Muvi, ambapo Jacquline Wolper, alipopata nafasi ya kuwasalimia wana Mtwara shangwe likalipuka kwa wakazi hao kumuita shemeji na kelele zilivyonoga akatangaza kuwa anarudiana rasmi na mpenzi wake wa zamani Harmonize.

VIDEO:



GPL


Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...