BREAKING;Msemaji Ali Kamwe Ajiuzulu Kama Afisa Habari wa Yanga..

1 year ago114 Views

 BREAKING; Ali Kamwe Ajiuzulu Kama Afisa Habari wa Yanga..

Ally Kamwe amejiuzulu kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC baada ya kuhudumu kwa misimu miwili tangu tarehe 25 Septemba 2022. Katika andiko lake Instagram, akiaga amesema:
“Mtumbuizaji mzuri anatakiwa kujua ni wakati gani wa kuondoka jukwaani. Kwa hekima hii, nawaambia kuwa ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka jukwaani. Nimesimama kwa miaka miwili juu ya hili jukwaa, tumeimba, tumecheza, tumefurahi, na tumeshinda pamoja. Muda wangu umemalizika, asanteni sana. Tutaonana tena nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha juu ya jukwaa.”
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.