Naibu Katibu Mkuu OMR Christina Mndeme afunga Mkutano mkuu wa TEEA

Admin Updates5 months ago8 Views

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme afunga  Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Washauri Elekezi wa Mazingira Tanzania (TEEA) uliofanyika Dodoma  Desemba 12,2024 kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Hamad Masauni Yusuf.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (katikati) akimsikiliza Mha. Paulo Sabilo kutoka NEMC wakati alipokuwa akikagua mabanda mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Washauri Elekezi wa Mazingira Tanzania (TEEA) uliofanyika Dodoma Desemba 12,2024.

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.