SIMANZI: Jionee hapa Mapacha Walivyomuua Mama Yao huko Mtwara

Admin Updates4 months ago6 Views

 Mapacha Wamuua Mama Yao Mtwara

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limefanikiwa kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wawili ambao ni Mapacha, Danford Steven Seif (24) na Daniel Steven Seif (24) wote Wakulima na Wakazi wa Mraushi A’ Wilaya ya Masasi Mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Upendo Methew Mayaya (42) ambaye ni Mama yao mzazi.


Taarifa iliyotolewa leo January 13,2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman, imesema “Watuhumiwa hao walitekeleza kitendo hicho December 15, 2024 kwa kumpiga Mama yao katika paji la uso kwa kutumia jembe na mwichi na kumsababishia majeraha yaliyopelekea kifo chake, chanzo cha mauaji hayo ni imani za kishirikin
a”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.