
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza viongozi kuweka Jiwe la Msingi Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge leo wakati wa ziara yake mkoani Tabora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wakazi wa wilaya ya Sikonge leo katika Viwanja vya TASAF.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Sikonge wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akiwahutubia leo katika Viwanja vya TASAF.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(hayupo katika picha) ili awahutubie wakazi wa wilaya ya Sikonge leo katika Viwanja vya TASAF. (Picha na Tiganya Vicent)
from CCM Blog https://ift.tt/2SSo8sN
via






