Yule Chifu Mgombea wa CCM afunguka mapya “Wanawake wazae watoto wengi, wasio na kazi mshahara kila Jumamosi” (+video)

Special Correspondent4 years ago4 Views


AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Chifu Athuman Omari Mwariko ambaye alitia nia kugombea katika Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi na katika kura za maoni hakuweza kupata kura za kutosha.

Chifu Mwariko anasema akitokea kuwa Mbunge ataunda Wizara ya Utamaduni ambayo itadili na mambo mbalimbali ya kuwasaidia wananchi ikiwemo kuwapa mshahara kila siku ya Jumamosi wasi na ajaira.

“Wizara ya Utamaduni lazima iwaweke wachawi na warogaji sehemu moja tufanye Research, inaweza ikatokea vita Petrol tukakosa lakini watu wanaweza kuruka na vyombo vingine kwenda DSM au London kwa dakika” Chifu

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.