Muigizaji Jacquline Wolper amekanusha vikali kuhusu suala la kuwahi kubadilisha dini kwa shinikizo la mapenzi na kwamba yote yaliyowahi kuonekana au kusikika huko nyuma ni mambo ya sanaa.
Wolper amefunguka hayo na kudai kwamba yeye kama msanii kuna mambo anaweza kufanya ya kisanii lakini watazamaji wasijue kama ni sanaa lakini ukweli ni kwamba hajawahi kuhama ukristo na kwenda kwenye dini ya kiislamu.
โSijawahi kubadilisha dini mimi, Sisi wasanii ndiyo tunajua tunafanyaga mimi mpaka watu wanaamini vitu kama kubadilisha dini. Ukweli wa dini yangu naujua mimi peke yangu lakini mengine yanayoonekana ni kazi ya sanaaโ -Wolper alifunguka.
Akizungumzia suala la mapenzi Wolper amesema kwamba amekuwa na changamoto mbalimbali sana za kushindwa kudumu kwenye mahusiano kwa kuwa wanawake wenzake hupenda kumuingilia kwenye mahusiano yake kitu ambacho amekiita kipaji cha kukomeshwa.
โMimi ni kama nina kipaji cha kukomeshwa kwenye mapenzi kwa sababu kipaji ninachokivumbua mimi wenzangu wanataka wapite hapo hapo ili kunikomoa. Ni kwamba nina kipaji cha kukomeshwa lakini huyo anayenikoa unakuta hajui mimi nimepambana vipi kumtengeneza mtu anipendeโ aliongeza Wolper

CHANZO EATV
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33