WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA HIVI

Admin Updates10 years ago7 Views

Hamida Hassan na Gladnes Mallya
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga amemshangaa msanii mwenzake
Jacqueline Wolper kwa kutoka kimapenzi na mwanaume wake aitwaye Jimmy.

Staa wa filamu za Kibongo, Jackline Wolper.

Sosi wa karibu na mastaa hao alidai kuwa, baada ya hivi karubuni
gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi kuandika kuwa Wolper amepata
kigogo mpya aitwaye Jimmy, Lungi alishangaa, akajiuliza imekuwaje tena
Wolper aamue kutembea na shemeji yake.

 
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga.

Ili kupata ubuyu uliokamilika, Ijumaa lilimtafuta Lungi
akasema: “Ni kweli Jimmy alikuwa mtu wangu, tukatofautiana kidogo,
alipoenda Sauzi akakutana na Wolper ikadaiwa kuwa walitoka kimapenzi,
nilishangaa kusikia hivyo na nimeamua kuachana na huyo Jimmy mwenyewe.

Wolper alipotafutwa kuzungumzia madai hayo alijitetea kwa kusema,
yeye hajatoka na Jimmy ila walikutana tu Sauzi na kupeana kampani ya
kawaida tu.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.