WEMA SEPETU UTAMUONA NA MASTAA WOTE LAKINI STAA HUYU HATARII

Admin Updates11 years ago89 Views


 Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua
unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua
mashosti ile mbaya lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema
alipogundua kua Penny anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )

Japo kua hii si ishu mpya sana but nimeona leo niwaletee picha za wawili
hawa Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia
usukani wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali (
Ndoa ) Tazama picha hizo hapo chini.


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...