Wema Sepetu unawaumiza mashabiki wako…..najua hutapenda kuona maoni ya namna hii ila ni muhimu sana uone upande huu maana huo ndo ukweli halisi wa mashabiki wako hivi sasa. Hali si nzuri watu wako njia panda, umewachanganya…kama kweli unajali, wasaidie kwa kufanya mema. Ni wewe tu ndo unaweza kuondoa udhalilishaji unaoendelea si yeyote mwingine. @martinkadinda samahan naomba umzabe kofi moja la nguvu akili irudi ajue yeye ni nani anapaswa kufanya nini na watu wake wategemee nini kutoka kwake. How can we be Wema wkt yeye hayafanyi hayo mema??? We want to see more pics of #BeWemaFanyaWema not those stupid pictures zinazozunguka…. u
Lakini kuna siku ulisema unachukia matusi au umechoka watu kukuongelea na yote mpaka watu wanaitukana familia yako….huwezi kufikiria why?? Why unakasirika??? Na matusi yale yote…Ni kwa kuruhusu hasa picha kama hizi either kwa makusudi au bahati mbaya wale wenye nia mbaya na wewe wanatumia kama chambo kukudhalilisha wewe na familia yako….. Ukisearch kwenye internet za aina hiyo zinatokea nyingi mpaka watu huamini ni kweli wewe ni mchafu kitu ambacho si kweli, hali hii Unaweza kukosa opportunity kubwa sana kwenye nchi nyingine sababu ya yale ambayo unaona ni sawa kwako!
Ukikasirika ni poa tu lkn nakwambia picha zako kama ni za kibiashara usichukue muda mrefu kabla biashara haijawekwa wazi la sivyo hata sisi tumechoka kukataza watu waache kutukana wakati wewe mwenyewe unaona poa tu, wengine hutumia hayo kuanzisha teams za kukutukana!! .
.
Ukweli ni kwamba wale wanaokupenda kwa dhati wanazidiwa nguvu na wale wenye lengo la kukuharibia….na hao wenye nia ya kweli na wewe hukaa pemben hawana ujasiri wa kusema lolote sababu wanaogopa…..Naomba Useme kitu kwa wanaokupenda, ili ijulikane atakayekiuka basi ni wale wengine waharibifu ambao ni wengi kwa sasa. Tunakupenda lkn kuna mambo mengine si ya kufumbia macho wkt wewe mwenyewe unaweza kufanya kitu, fikiria cha kufanya au kama huwezi potezea!
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






