“Serikali inafanyia kazi hoja za ukaguzi zilizotolewa na CAG na hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wale watakaothibitika kuwa ni wavunjifu wa sheria na kusababisha upotevu wa fedha za umma bila kujali mkubwa wala mdogo kama alivyoelekeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.” – Dkt. Mwiguli Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango
Waziri Mwigulu Nchemba Afunguka asema “Serikali Haitowaacha Waliotajwa na CAG”
Latest News
Subscribe for latest Tanzania news & updates.
© 2026 Masama Blog. Designed by Iqbal Tasif.

