Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea treni ya mizigo, iliyowasili tokea Tanga, kwenye uzinduzi wa treni hiyo katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019.
Wananchi wa Moshi, wakipokea treni ya mizigo kwa furaha kubwa, wakati ikiwasili tokea Tanga, Julai 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe kuzindua treni ya mizigo katika reli ya Kaskazini Julai 20.2019. Uzinduzi huo umefanyika katika stesheni ya reli Moshi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwapungia mikono wananchi waliyofika kushuhudia uzinduzi wa treni ya mizigo katika reli ya Kaskazini uliyofanyika katika stesheni ya reli Moshi, Julai 20.2019.
Wananchi wa Moshi, wakishangilia kwa furaha kubwa baada ya kupokea treni ya mizigo katika reli ya Kaskazini, wakati ikiwasili tokea Tanga, Julai 20.2019
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2M0RhgB
via







