Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati akikagua mabanda katika,
kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na
Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini
Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya
kutotolea vifaranga, iliyobuniwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar
es salaam (UDSM), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu,
Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi
Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mita ya maji ya
malipo ya kabla, iliyobuniwa na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint
Joseph, Khadija Mustapha (kulia), kabla ya kufungua Maonesho ya 14
ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika
viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Meneja Usajili
na Utambuzi (NIDA), Julien Bernard (kulia), kwenye ufunguzi wa
Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia,
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam,
Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya
kutayarishia vitambulisho vya Taifa, wakati akikagua banda la
(NIDA), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi
na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini
Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Mtaalamu wa mashine hiyo,
Marwa Mbolea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, waliyohudhuria kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, baada ya
ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia,
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam,
Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa
Kamisheni ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Jacob Philip Mtabaji
, wakati alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja, kufungua
Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, jijini Dar
es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo
Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
from CCM Blog https://ift.tt/2Y29cdt
via