Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa na jeshi la polisi wakati wakijiandaa kufanya uvamizi kwenye machimbo ya madini Darpori Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma,huku silaha moja ikikamatwa katika tukio hilo. from CCM Blog http://bit.ly/2W6I10M via CCM SIASA