Washindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge wa CHADEMA waliopita kwenye majimbo yao

5 years ago125 Views

Washindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge wa CHADEMA waliopita kwenye majimbo yao ni  kama ifuatavyo:


1.Mshindi Jimbo la Kawe ni Halima Mdee mwenye kura 63  (71.5%).
2.  Tarime Mjini mshindi ni Esther Matiko mwenye kura 80 (97. 6%) 
3. Tarime Vijijini mshindi ni John Heche ambaye amepata kura 268 (99.2%) .
-Heche alikuwa Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana, kwenye kura zilizopigwa, kura za Ndio ni 268 (99.2%),zilizoharibika ni 2 (0.74%) hakuna kura ya Hapana

4. Mshindi Jimbo la Bunda Mjini ni Ester Bulaya mwenye kura 126 
5. Jimbo la Iramba mshindi ni Jesca Kishoa mwenye kura 134 (98%) .
– Jesca alikuwa Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana, kwenye kura 136 zilizopigwa, kura za Ndio ni 134 (98%), zilizoharibika ni 2 na hakuna kura ya Hapana.
6. Jimbo la Isimani mshindi ni Patrick Ole Sosopi mwenye kura 115 (82.6%).

7.Mshindi jimbo la Mbeya Mjini ni Joseph Mbilinyi (Sugu) mwenye kura 294
– Sugu alikuwa ni Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana ambapo amepata Ndio 294 na Hapana 5.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.